Naanza naye, sifa yangu mkweliMisifa mingi na ukwezi, mi sina makuziNtakupenda weweNtampenda mamaNa baba yakoNa ndugu zakoNtakupa mapenzi mimiWamvungule mvungule,Hujawahi pewaWamvungule mvunguleNataka wasikieWamvungule mvunguleKwa mvumo wa radiiTatizo lako sheriUnanistaajabishagaUnavyonipendaga kweliRoho inaniumaWivu naonaMi naumiaI’m in love weweNampenda sanaTupendaneTupendane penzi liwe sawa sawaLisiwe nusu na robo kwa kiloPenzi robo nyingine yende kuleNataka yote mapenzi kwa kilo ahaaTupendane […]
Recent Comments