Mpango ulikua ni kupaa mi nawe mtoto kila angaEh A-city in the houseKujipanga hata kama mpenzi siku moja utakua jangaMakini BelaUmeniwashia kibiriti mafuta kunimwagiaMoyo hautmani mapenzi natoka machoziKwa mawazo mi nakonda kweliWapi nikuone ili nipone donda la moyo kutwa kucha naumiaAmeondo(ka) ghafla tuSikuoni tena mamaOna jua limezamaUmepotea kama (kivuli) kivuliRoho yangu juu lini ntakuona tenaHujaacha […]
Tag: Christian Bella
Christian bella feat Hamisa mobetto – BOSS
Check out Boss by Christian Bella (feat. Hamisa Mobetto)
Alikiba & Christian Bella – Nagharamia
Check out Alikiba & Christian Bella – Nagharamia
Christian Bella | Nishike
Kapinga wewe kapinga weweUmeme si unajua nakupendaChakula changu cha kila siku ni wwNikila sishibi sikubali kabisa kushare na m2Kapinga muzuri tukitoka watu wote macho kwakeNikulinde vipi wasije nipora kapiii…Wenye nyumba mapesa magari wengi macho kwakeNikufiche wapi oooh baby.Kapinga wangu sura ya babiii anapenda kucheka kununa kwake nooo, akikatika kidgo nadata namuita shellyAkitingisha body napiga keleleSheeelly […]
Christian Bella – Punguza Kidogo
Check out Punguza Kidogo by Christian Bella. Enjoy!!!
Christian Bella – Nashindwa
Mamie, Dadie. X3(Hie, Hie)Mie, Mie, Mie, Mie, Mie, Mie, Mie,Mbona kama unanionea?Haya Mapenzi gani kila siku lazima ni mbembeleze.Nini sasa Mpenzi wangu na gota kumbembeleza.Na mimi nisikie unavyosikiaga, nikikumbembeleza.Ona kaneno Mapenzi, kaneno kafupi,Kana mambo mengi, Unayempenda atakuzingua,Si bora angesema ata mapema, ameniacha nimezama.Kutoka sasa NashindwaKutoka mimi(Nashindwa)X 2 Aaaaaaaaaah!(Nashindwa)X2Sijui nifanye niniiii? Nashindwaa… Mama weweeeeeeeeee…Angejua kabisa ninavyompendaSijawahi […]
Recent Comments