Dunia inazama naiangaliaSina cha kufanya rohoni naumiaMawazo yangu ooh naangamiaUko wap Mungu wangu hunioni weh naliaKumbe ulikua unasikia unaniangalia weweeeLikapotea tumaini langu ila imani ikaingiaaaaKumbe ulikua unasikia aaaahhhhhNa likapotea tumaini langu ila imani ikaingiaaaaMungu waambie uliniona nlipokwomba uliskia na ukaitikaMungu waambie uliposema uaja wala hukukosea njia na ulifikaMungu waambieni wewe tu ni wewe tuuuu ooohhMungu […]
Recent Comments